Summary
Work History
Education
Skills
Timeline
Generic
ADONIS EVODIUS SAMWEL

ADONIS EVODIUS SAMWEL

Kyerwa

Summary

Mchapakazi mwenye nidhamu na uzoefu wa vitendo katika sekta ya viwanda. Lengo langu ni kutumia ujuzi niliopata wakati wa mafunzo (Field Attachment) katika Kiwanda cha Mkombozi Amkos ili kuchangia katika ukuaji wa uzalishaji na ufanisi wa kampuni.

Work History

Mwanafunzi wa Mafunzo ya Vitendo (Field Intern)

Kiwanda cha Mkombozi Amkos
Nyakatutu
07.2025
  • Majukumu na Mafanikio:
  • Usalama wa Officen: Nilizingatia na kutekeleza kanuni zote za usalama (PPE) na kuhakikisha mazingira ya kazi yanabaki kuwa salama.
  • Ripoti za Kazi: Nilikusanya na kuwasilisha ripoti za kila siku za uzalishaji kwa msimamizi wangu.

Education

Stashahada - Accountancy

Chuo Mwalimu Nyerere Memorial Academy
01-2024

Cheti cha Kidato cha Nne - undefined

Shule ya Sekondari Mikire
01-2023

Skills

  • Ufundi: Uwezo wa kutumia vifaa na mitambo ya officen kama compuntary
  • Ushirikiano: Uwezo mkubwa wa kufanya kazi ndani ya timu (Team player)
  • Lugha: Kiswahili na Kiingereza (Fasaha)

Timeline

Mwanafunzi wa Mafunzo ya Vitendo (Field Intern)

Kiwanda cha Mkombozi Amkos
07.2025

Stashahada - Accountancy

Chuo Mwalimu Nyerere Memorial Academy

Cheti cha Kidato cha Nne - undefined

Shule ya Sekondari Mikire
ADONIS EVODIUS SAMWEL