Kushirikiana na Wanajamii na Wapiga Kura kuliongoza Jimbo la Kyerwa katika namna inayolenga kufanikisha Mpango Mkakati wa Jimbo
Tuzo ya PEPFAR ya Mbinu Bora za Utekelezaji (Best Practice Award) ya mwaka 2024.
Tuzo ya Mfanyakazi bora kutoka Airtel Tanzania, mwaka 2010.
Tuzo ya Mshindi wa Kwanza Kitaifa ya Kazi za Fasihi kutoka UWAVITA, mwaka 2005.
Tuzo ya Mshindi wa Pili Kitaifa ya Kazi za Fasihi kutoka UWAVITA, mwaka 2004.
Vyeti vya Uongozi bora kama Mwakilishi wa darasa na Waziri katika serikali ya wanafunzi ya Taasisi ya Ustawi wa Jamii (ISWOSO) vya 2009.
Cheti cha Uongozi Bora wa Miradi kutoka Shule ya Sekondari ya Rwamabazi, mwaka 2002.
Cheti cha ubora katika Somo la Kiswahili kutoka Shule ya Sekondari ya Rwamabazi, mwaka 2002.