Summary
Work History
Education
Skills
Leadership Goals
Recognition
Vision For Parliament
Party
Leadership Experience
Personal Information
Timeline
Generic

Flora Joseph Hondi

Babati-Manyara

Summary

Ninadhamiria kugombea na kuwa mbunge wa wananchi wa Babati kwa kutekeleza majukumu yangu kwa weledi, uaminifu, na ushirikiano. Nadhamiria kuleta maendeleo ya kweli kupitia elimu, afya, miundombinu, vijana, wanawake, na mazingira, nikishirikiana na serikali, sekta binafsi, na wadau wa maendeleo.

Work History

Mmiliki

Next Level Hardware
Babati, Tanzania
  • Mfanyabiashara aliyesajiliwa na Mamlaka ya Mapato (TIN: 139322096).
  • Hutoa vifaa vya ujenzi kwa mikoa mbalimbali kwa uaminifu na viwango.
  • Amechangia maendeleo ya jamii kwa kusaidia ujenzi wa taasisi za kijamii.
  • Anahamasisha vijana kuingia katika biashara na kuwajengea uwezo.
  • Ni mfano wa mafanikio ya wanawake katika sekta ya biashara.

Mshiriki

VSO
Zanzibar
  • Shirika la VSO – Zanzibar (International NGO)
  • Alihudumu kwa miezi sita kuelimisha jamii kuhusu ulemavu, na huduma za afya kwa mama na mtoto..
  • Nilifanikisha kampeni za kuhimiza wanawake wajawazito kuhudhuria kliniki mapema.
  • Nilishirikiana na viongozi wa serikali za mitaa katika utekelezaji wa miradi ya afya.
  • Tulitoa elimu kwa vijana kuhusu kukabiliana na changamoto za ulemavu.
  • Alitunukiwa cheti cha kushiriki programu hiyo ya kijamii.

Kiongozi Wa Klabu Ya Wanafunzi – Uelimishaji Jamii

Chuo cha Masomo ya Maktaba, Kumbukumbu na Uandishi wa Nyaraka
  • Niniongoza timu ya wanafunzi kutoa elimu katika shule za msingi na sekondari kuhusu umuhimu wa vitabu, maktaba, na maadili ya taarifa..
  • Nilihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira na taarifa za kijamii.
  • Nilishirikiana na walimu kuanzisha maktaba shuleni na kukusanya msaada wa vitabu.
  • Nilipokea cheti cha pongezi kwa mchango wa kuelimisha jamii.
  • Niliandika muhtasari wa mapendekezo kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa taarifa vijijini.

Makamu Wa Rais

Chuo cha Masomo ya Maktaba, Kumbukumbu na Uandishi wa Nyaraka
  • Nilihudumu kwa vipindi viwili mfululizo kutokana na imani ya wanafunzi kwa uongozi wake.
  • Nilisimamia mipango ya maendeleo ya wanafunzi, ndani na nje ya chuo.
  • Niliratibu mafunzo ya uongozi, afya ya akili, na usalama chuoni.
  • Niliunganisha wanafunzi na fursa za mafunzo ya nje, kupitia taasisi za serikali, na mashirika binafsi..
  • Nilitunikiwa vyeti viwili vya pongezi kwa uongozi bora, uwazi, na nidhamu ya kazi.

Mwanzilishi Tawi La CCM

Chuo cha Masomo ya Maktaba, Kumbukumbu na Uandishi wa Nyaraka
, Tanzania
  • Nilianzisha tawi la kwanza la CCM chuoni, na kuhamasisha ushiriki wa wanafunzi kwenye masuala ya siasa na maendeleo ya taifa..
  • Niliratibu mikutano ya mafunzo ya siasa, uongozi, na uzalendo.
  • Niliwakaribisha viongozi wa chama kutoa semina kwa wanafunzi kuhusu nafasi ya vijana ndani ya CCM na maendeleo ya Taifa.
  • Nilikuwa kiungo kati ya uongozi wa chama na wanafunzi katika miradi ya kijamii.
  • Nilifanikiwa kuongeza idadi ya wanachama wapya wa CCM chuoni mara mbili ndani ya mwaka mmoja.

Education

Stashahada ya Uhifadhi wa Nyaraka na Ukutubi -

Chuo cha SLADS
Bagamoyo
01.2017

Kidato cha Nne hadi Sita -

Shule ya Sekondari Mawenzi
Moshi
01.2015

Elimu ya Msingi -

Shule ya Msingi Haraa
Babati
01.2010

Skills

  • Uongozi thabiti
  • Uwezo wa kuwasiliana kwa ufanisi
  • Uwezo wa kutunga na kuchambua sera
  • Kushirikiana na wadau mbalimbali
  • Uwezo wa kutatua changamoto za kijamii
  • Uadilifu na uwajibikaji
  • Uelewa wa masuala ya maendeleo
  • Uhamasishaji wa jamii kushiriki maendeleo

Leadership Goals

Ninataka kuwa mbunge wa wananchi wa Babati kwa kutekeleza majukumu yangu kwa weledi, uaminifu, na ushirikiano. Natamani kuleta maendeleo ya kweli kupitia elimu, afya, miundombinu, vijana, wanawake, na mazingira; nikishirikiana na serikali, sekta binafsi, na wadau wa maendeleo.

Recognition

  • Kutambuliwa kwa Mchango wa Maendeleo ya Jamii, 07/01/24, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Nilishiriki katika ujenzi wa ofisi ya Serikali ya Mtaa; nilialikwa kwenye kikao rasmi cha maandalizi ya uzinduzi.
  • Cheti cha Ushiriki, 01/01/19, Mafunzo ya Ujenzi wa Uwezo kwa Vijana wa Afrika katika Uwajibikaji na Uwazi (AYTA).
  • Cheti cha Pongezi, 01/01/20, Kama Kiongozi Bora chuoni Shule ya Maktaba, Hifadhidata na Masomo ya Kumbukumbu.

Vision For Parliament

Ninapogombea ubunge, nina lengo la kuifanya Babati kuwa kitovu cha maendeleo na mfano wa ushirikiano kati ya wananchi, serikali, na sekta binafsi. Nitatetea elimu bora, afya ya uhakika, uwezeshaji kwa wanawake na vijana, na maendeleo ya miundombinu. Najua matatizo ya wananchi wangu – na ninayo nia, uwezo na maono ya kuyatatua.

Party

CCM – Mwanachama Hai

Leadership Experience

  • Makamu wa Rais, Serikali ya Wanafunzi, SLADS, 01/01/18 - 12/31/20, Alihudumu kwa vipindi viwili mfululizo kutokana na imani ya wanafunzi kwa uongozi wake., Alisimamia mipango ya maendeleo ya wanafunzi ndani na nje ya chuo., Aliratibu mafunzo ya uongozi, afya ya akili, na usalama chuoni., Aliunganisha wanafunzi na fursa za mafunzo ya nje kupitia taasisi za serikali na mashirika binafsi., Alipokea vyeti viwili vya pongezi kwa uongozi bora, uwazi, na nidhamu ya kazi.
  • Mwanzilishi, CCM Club Chuoni – SLADS, 01/01/18 - 12/31/20, Alianzisha tawi la kwanza la CCM chuoni na kuhamasisha ushiriki wa wanafunzi kwenye masuala ya siasa na maendeleo ya taifa., Aliratibu mikutano ya mafunzo ya siasa, uongozi, na uzalendo., Aliwakaribisha viongozi wa chama kutoa semina kwa wanafunzi kuhusu nafasi ya vijana ndani ya CCM., Alikuwa kiungo kati ya uongozi wa chama na wanafunzi katika miradi ya kijamii., Aliongeza idadi ya wanachama wapya wa CCM chuoni mara mbili ndani ya mwaka mmoja.
  • Kiongozi, Klabu ya Wanafunzi – Uelimishaji Jamii, 01/01/18 - 12/31/20, Aliongoza timu ya wanafunzi kutoa elimu katika shule za msingi na sekondari kuhusu umuhimu wa vitabu, maktaba, na maadili ya taarifa., Alihamasisha jamii kuhusu utunzaji wa mazingira na taarifa za kijamii., Alishirikiana na walimu kuanzisha maktaba shuleni na kukusanya msaada wa vitabu., Alipokea cheti cha pongezi kwa mchango wa kuelimisha jamii., Aliandika muhtasari wa mapendekezo kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa taarifa vijijini.

Personal Information

  • Age: 27
  • Place of Birth: Babati Mjini

Timeline

Mshiriki

VSO

Kiongozi Wa Klabu Ya Wanafunzi – Uelimishaji Jamii

Chuo cha Masomo ya Maktaba, Kumbukumbu na Uandishi wa Nyaraka

Makamu Wa Rais

Chuo cha Masomo ya Maktaba, Kumbukumbu na Uandishi wa Nyaraka

Mwanzilishi Tawi La CCM

Chuo cha Masomo ya Maktaba, Kumbukumbu na Uandishi wa Nyaraka

Mmiliki

Next Level Hardware

Stashahada ya Uhifadhi wa Nyaraka na Ukutubi -

Chuo cha SLADS

Kidato cha Nne hadi Sita -

Shule ya Sekondari Mawenzi

Elimu ya Msingi -

Shule ya Msingi Haraa
Flora Joseph Hondi