

Mimi ni mtaalamu mwenye weledi katika usimamizi wa fedha, utawala na mikakati ya maendeleo, mwenye Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Biashara (MBA – Corporate Management) na umahiri wa CPA. Nina uzoefu mpana katika uongozi wa kisiasa na kijamii kupitia UVCCM na CCM, ambapo nimechangia maandalizi ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2025–2030 na kushiriki katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kama sehemu ya timu za awali (Advance team) za Mheshimiwa Raisi. Ni kiongozi makini, mwenye dira, ninayejali matokeo na nina uwezo wa kuchanganya taaluma, uongozi na uzalendo katika kuleta maendeleo endelevu ya kijamii na kiuchumi. Takes on challenging new role harnessing interpersonal skills, collaboration and problem-solving. Driven to deliver high-quality service and consistent results.